Uislamu huko Oceania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msikiti wa Gallipoli, Auburn, Sydney.
Uislamu kwa nchi

Uislamu barani Oceania ni jina la kutaja Uislamu na Waislamu barani Oceania.

Kwa makadirio ya sasa, kuna Waislamu 498,395 wanaoishi barani Oceania, wakiwemo 399,000 nchini Australia, 36,072 nchini New Zealand, 54,323 nchini Fiji, 6,350 nchini New Caledonia, 2,000 nchini Papua New Guinea, 350 katika Visiwa vya Solomon, 200 nchini Vanuatu, 100 nchini Tonga na kiasi kidogo zaidi huko Kiribati na Samoa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uislamu huko Oceania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.