Msikiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Msikiti ni sehemu ya ibada kwa waumini wa dini ya kiislamu. Waislamu wengi mara nyingi huita msikiti kwa kutumia jina la kiarabu, ambalo ni masjid - Kiarabu: مسجد — inatamkwa [ˈmæsʤɪd] (tamka: masajid kwa Kiarabu: مساجد — /mæˈsæːʤɪd/).

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msikiti kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.