Uislamu nchini Gambia
(Elekezwa kutoka Uislamu nchini the Gambia)
Uislamu kwa nchi ![]() |
Uislamu ni dini yenye wafuasi wengi nchini Gambia, ikiwa na asilimia 95.3 za idadi ya wakazi wote wa nchi hiyo.[1] Sehemu kubwa ya Waislamu wa Gambia ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mwongozo wa Maliki, wenye athira pia ya Usufi. Vilevile kuna nyendo za Wahmadiyya.[2]
Uislamu nchini humo unasifika kwa kushirikiana na makundi mengine ya dini. Baadhi ya makundi hayo ni pamoja na Kanisa Katoliki, Uprotestanti na Dini asilia za Kiafrika.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ http://features.pewforum.org/muslim-population/
- ↑ Association of Religious Data Archives. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-06-10. Iliwekwa mnamo May 31, 2014.
![]() |
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |