Uislamu nchini Seychelles
(Elekezwa kutoka Uislamu nchini Shelisheli)

Uislamu kwa nchi ![]() |
Uislamu katika Bahari ya India ulianzishwa na wafanyabiashara wabaharia hasa kabla ya Ulaya kugundua visiwa vya Seychelles.[1] Hata hivyo, iko tofauti kidogo na hali ya visiwa vingine ikiwa ni pamoja na Comoro na Maldives, kulikuwa hakuna wakazi wa kudumu huko Seychelles hadi hapo Wafaransa walipolowea mnamo 1770. Leo hii, idadi ya Waislamu nchini humo inakadiriwa kuwa ni asilimia 1 tu, yaani, ni kama watu 900 ambao wameripotiwa kuwa ni Waislamu nchini humo.[2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Exploring Islam. www.nation.sc. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-07-05. Iliwekwa mnamo 2 March 2013.
- ↑ Seychelles Population. www.historycentral.com. Iliwekwa mnamo 2 March 2013.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |