Uislamu nchini Ethiopia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Ethiopia ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo.

Kwa mujibu wa sensa ya taifa ya mwaka wa 2007, kuna waumini zaidi ya milioni 25 (au 34% ya wakazi wote) ambao ni Waislamiu.[1] 

Uislamu ni dini yenye kundi la watu wengi ambao ni Wasomali, Wafar, Wargobba, Waharari, Waberta, Walaba, na Wasilt'e; pia wafuasi wengi miongoni mwao ni Wagurage na Waoromo.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Imani hiyo iliwasili nchini Ethiopia mapema sana, muda mfupi baada ya Hijira.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Jisomee[hariri | hariri chanzo]