Nenda kwa yaliyomo

Uislamu nchini Burkina Faso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi
Msikiti Mkubwa huko mjini Bobo-Dioulasso, Burkina Faso

Uislamu nchini Burkina Faso (zamani Volta ya Juu) una historia ndefu sana.

Kulingana na sensa iliyofanywa mwaka wa 2006, idadi ya Waislamu nchini humo ni 60.53%.[1] Ijapokuwa idadi kubwa wa Waislamu wa huko ni wa madhehebu ya Sunni wanaomfuata Maliki, madhehebu mengine kama vile ya Shia na Ahmadiyya nayo yanao baadhi ya wafuasi.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. ""Les principaux tableaux du recensement general de la population et de l'habitation 2006," Institut National de la Statistique et de la Démographie, Ministère de l'économie et des finances, July 2008". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2014-12-20.
  2. Breach of Faith. Human Rights Watch. Juni 2005. uk. 8. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014. Estimates of around 20 million would be appropriate{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Ira M. Lapidus, A History of Islamic Societies 2nd Ed. 1988