Nenda kwa yaliyomo

Bobo-Dioulasso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bobo-Dioulasso ni mji wa Burkina Faso katika mkoa wa Hauts-Bassins.

Idadi ya wakazi ilikuwa 904,920 wakati wa sensa ya mwaka 2019[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bobo-Dioulasso kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.