Majadiliano:Uislamu huko Oceania
Mandhari
Kuhamisha kwenda "Uislamu katika Australia na Pasifiki"
[hariri chanzo]Naona tuendelee kutumia "Australia na Pasifiki" kwa ing. "Oceania". KKS mpya ina "Australesia" kama jina kwa ajili ya "Oceania"; lakini hii ni "Australasia" iliyoswahilishwa kitahajia, isipokuwa hii ni sehemu ya "Oceania" tu (Australia, New Zealand, Guinea Mpya na visiwa jirani vya Melanesia) . Nisipokosei bado hakuna jina la Kiswahili linaloridhisha kwa hiyo tuendelee tu kwa "Australia na Pasifiki". Kipala (majadiliano) 13:42, 26 Aprili 2015 (UTC)
- Salaam, Mzee Kipala. Sawa. Ni jina sahihi kabisa. Mwanzo nilikosa kuona jina linalotaja Oshania. Endelea--MwanaharakatiLonga 15:53, 26 Aprili 2015 (UTC)