New Zealand

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
New Zealand
Aotearoa (Kimaori)
Bendera ya New Zealand Nembo ya New Zealand
Bendera Nembo
Wito la taifa: --
Wimbo wa taifa: God Defend New Zealand (Mungu atetee New Zealand)
God Save The Queen
Lokeshen ya New Zealand
Mji mkuu Wellington
41°17′ S 174°27′ E
Mji mkubwa nchini Auckland
Lugha rasmi Kiingereza (95.9%)
Kimaori (4.2%)
Serikali Ufalme wa kikatiba
Elizabeth II wa Uingereza
Jerry Mateparae
John Key
Uhuru
Dominion (kujitawala)
26 Septemba 1907
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
268,680 km² (ya 75)
2.1
Idadi ya watu
 - Juni 2014 kadirio
 - 2013 sensa
 - Msongamano wa watu
 
4,537,081 (ya 123)
4,242,048
16.5/km² (ya 205)
Fedha New Zealand dollar (NZD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
NZST9 (UTC+12)
NZDT (UTC+13)
Intaneti TLD .nz10
Kodi ya simu +64

-New Zealand (Kiing. kwa "nchi mpya baharini"; pia Nyuzilandi; kwa Kimaori: Aotearoa) ni nchi ya visiwani katika Pasifiki takriban km 1,600 upande wa mashariki-kusini kwa Australia.

Eneo lake ni visiwa viwili vikubwa na vingine vidogo.

Wellington ni mji mkuu wa New Zealand. Auckland ni mji mkubwa visiwani.

Idadi ya wakazi ni 4,537,081.

Lugha rasmi ni Kiingereza, Kimaori na lugha ya mikono ya viziwi.

Upande wa dini, 43.5% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Kanisa Katoliki (11.07%) na Anglikana (10.33%). Idadi ya wasio na dini inazidi kupanda na imeshafikia 38.55%, mbali ya 12.27% wasio jibu swali kuhusu hilo.

Miji[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna
Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu New Zealand kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.