Kamusi ya Kiswahili sanifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka KKS)

Kamusi ya Kiswahili Sanifu (kifupi KKS) ni kamusi iliyotungwa na wataalamu wa TUKI (leo: TATAKI) kwenye chuo kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania, mwaka 1981.

Kwa sasa imefikia toleo la tatu.

Kamusi hii inakusanya maneno ya Kiswahili sanifu na kuyaeleza kwa lugha ya Kiswahili yenyewe. Inaongoza kwa kiswahili sanifu

Marejeo

  • Kamusi ya Kiswahili sanifu. Dar es Salaam, Tanzania: Oxford University Press. 1981.