Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ukumbi wa Nkrumah

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (kifupisho chake UDSM kutoka Kiingereza "University of Dar es Salaam") ni chuo kikuu cha kwanza nchini Tanzania. Kiko katika jiji la Dar es Salaam. Kilianza kuwa chuo kikuu mwaka wa 1970 baada ya kutengwa kwa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki katika vyuo vikuu vitatu: Chuo Kikuu cha Makerere (Uganda), Chuo Kikuu cha Nairobi (Kenya) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Watu mashuhuri waliopitia UDSM[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.