Herbert James Mntangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Herbert James Mntangi (amezaliwa 16 Oktoba, 1950) ni mbunge wa jimbo la Muheza katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Herbert James Mntangi (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.