Bernard Kamilius Membe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bernard Membe (2009)

Bernard Kamilius Membe (amezaliwa tar. 9 Mei 1953) ni mbunge wa jimbo la Mtama katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Bernard Kamilius Membe (26 Juni 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.