Waziri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waziri (kutoka neno la Kiarabu) ni afisa wa serikali anayeongoza wizara pamoja na idara mbalimbali zilizo chini ya wizara hiyo. Waziri ambaye ni kiongozi wa serikali nzima huitwa Waziri Mkuu au kansela[1](Ujerumani na Austria).

Katika baadhi ya nchi k.v. Marekani, Kenya na Ufilipino, kiongozi wa wizara huitwa katibu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Angela Merkel ateuliwa na rais wa shirikisho kuwa kansela", Yusuf Saumu, ilipatikana 21-03-2018.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waziri kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.