Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Machansela wa Austria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chansela wa Austria)
Nembo ya Austria
Jengo ya Machansela katika Vienna

Ukarasa huu una orodha ya machansela wa Austria (kwa Kijerumani: Bundeskanzler, katika fasihi: chansela wa shirikisho):

Machansela wa shirikisho ya Kwanza Jamhuri ya Austria (1918-1938)

[hariri | hariri chanzo]
# Jina
(miaka ya maisha)
Picha Muda wa Utawala Chama
1 Karl Renner
(1870–1950)
12 Novemba 1918 7 Julai 1920 SDAPÖ
2 Michael Mayr
(1864–1922)
7 Julai 1920 21 Juni 1921 CS
3 Johann Schober
(1874–1932)
21 Juni 1921 26 Januari 1922 -
4 Walter Breisky
(1871–1944)
26 Januari 1922 27 Januari 1922 CS
5 Johann Schober
(1874–1932)
27 Januari 1922 31 Mei 1922 -
6 Ignaz Seipel
(1876–1932)
31 Mei 1922 20 Novemba 1924 CS
7 Rudolf Ramek
(1881–1941)
20 Novemba 1924 20 Oktoba 1926 CS
8 Ignaz Seipel
(1876–1932)
20 Oktoba 1926 4 Mei 1929 CS
9 Ernst Streeruwitz
(1874–1952)
4 Mei 1929 26 Septemba 1929 CS
10 Johann Schober
(1874–1932)
26 Septemba 1929 30 Septemba 1930 -
11 Karl Vaugoin
(1873–1949)
30 Septemba 1930 4 Desemba 1930 CS
12 Otto Ender
(1875–1960)
4 Desemba 1930 20 Juni 1931 CS
13 Karl Buresch
(1878–1936)
20 Juni 1931 20 Mei 1932 CS
14 Engelbert Dollfuss
(1892–1934)
20 Mei 1932 25 Julai 1934 CS, VF
15 Kurt Schuschnigg
(1897–1977)
29 Julai 1934 11 Machi 1938 VF
16 Arthur Seyss-Inquart
(1892–1946)
11 Machi 1938 13 Machi 1938 NSDAP

Machansela wa shirikisho ya Pili Jamhuri ya Austria (1945-sasa)

[hariri | hariri chanzo]
# Jina
(miaka ya maisha)
Picha Muda wa Utawala Chama
17 Karl Renner
(1870–1950)
27 Aprili 1945 20 Desemba 1945 SPÖ
18 Leopold Figl
(1902–1965)
20 Desemba 1945 2 Aprili 1953 ÖVP
19 Julius Raab
(1891–1964)
2 Aprili 1953 11 Aprili 1961 ÖVP
20 Alfons Gorbach
(1898–1972)
11 Aprili 1961 25 Februari 1964 ÖVP
21 Josef Klaus
(1910–2001)
2 Aprili 1964 3 Machi 1970 ÖVP
22 Bruno Kreisky
(1911–1990)
21 Aprili 1970 24 Mei 1983 SPÖ
23 Fred Sinowatz
(1929–2008)
24 Mei 1983 16 Juni 1986 SPÖ
24 Franz Vranitzky
(kuzaliwa 1937)
16 Juni 1986 20 Januari 1997 SPÖ
25 Viktor Klima
(kuzaliwa 1947)
28 Januari 1997 4 Februari 2000 SPÖ
26 Wolfgang Schüssel
(kuzaliwa 1945)
4 Februari 2000 11 Januari 2007 ÖVP
27 Alfred Gusenbauer
(kuzaliwa 1960)
11 Januari 2007 2 Desemba 2008 SPÖ
28 Werner Faymann
(kuzaliwa 1960)
2 Desemba 2008 9 Mei 2016 SPÖ
Reinhold Mitterlehner
(kuzaliwa 1955)
9 Mei 2016 17 Mei 2016 ÖVP
29 Christian Kern
(kuzaliwa 1966)
17 Mei 2016 18 Desemba 2017 SPÖ
30 Sebastian Kurz
(kuzaliwa 1986)
18 Desemba 2017 28 Mei 2019 ÖVP
Hartwig Löger
(kuzaliwa 1965)
28 Mei 2019 3 Juni 2019 ÖVP
31 Brigitte Bierlein
(1949–2024)
3 Juni 2019 7 Januari 2020
(30) Sebastian Kurz
(kuzaliwa 1986)
7 Januari 2020 11 Oktoba 2021 ÖVP
32 Alexander Schallenberg
(kuzaliwa 1969)
11 Oktoba 2021 6 Desemba 2021 ÖVP
33 Karl Nehammer
(kuzaliwa 1972)
6 Desemba 2021 sasa ÖVP

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons