1934
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1930 |
1931 |
1932 |
1933 |
1934
| 1935
| 1936
| 1937
| 1938
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1934 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 20 Januari - Hennie Aucamp, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 27 Februari - N. Scott Momaday, mwandishi kutoka Marekani
- 7 Machi - Willard Scott, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Machi - Yuri Gagarin (rubani Mrusi na mtu wa kwanza aliyefika katika anga-nje)
- 31 Machi - Carlo Rubbia, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1984
- 11 Aprili - Mark Strand, mshairi kutoka Marekani
- 21 Mei - Bengt Samuelsson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 13 Julai - Wole Soyinka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1986
- 16 Julai - George Hilton, mwigizaji filamu Mwingereza kutoka Uruguay
- 3 Agosti - Jonas Savimbi
- 25 Agosti - Zilda Arns, daktari wa watoto kutoka nchi ya Brazil
- 21 Septemba - David James Thouless, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2016
- 28 Septemba - Brigitte Bardot, mwigizaji filamu kutoka Ufaransa
- 13 Oktoba - Nana Mouskouri, mwimbaji kutoka Ugiriki
- 10 Desemba - Howard Temin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975
- 31 Desemba - Chedieli Yohane Mgonja, mwanasiasa wa Tanzania
bila tarehe
- George Lilanga, msanii Mmakonde kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 29 Januari - Fritz Haber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918
- 23 Februari - Edward Elgar, mtunzi mashuhuri wa muziki kutoka Uingereza
- 17 Oktoba - Santiago Ramón y Cajal, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1906
