Zilda Arns

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zilda Arns

Zilda Arns Neumann (25 Agosti 1934 - 12 Januari 2010) alikuwa daktari wa watoto na mfanyakazi wa misaada kutoka nchi ya Brazil. Pia alikuwa mwanzilishi wa shirika la Pastoral da Criança (Kiswahili: Uangalizi wa Kichungaji wa Watoto). Yeye alikufa baada ya tetemeko la ardhi nchini Haiti.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zilda Arns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: