Fritz Haber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fritz Haber

Fritz Haber (9 Desemba 186829 Januari 1934) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Pamoja na utafiti mwingine alichunguza maswali ya kemia ya umeme. Mwaka wa 1918 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fritz Haber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.