George Lilanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika kigezo hiki unataja tarehe YYYY|MM|DD maana yake ni 1999|10|24 kwa maana "24 Oktoba 1999"

George Lilanga
Lilanga-Work021-1998.jpg
Amezaliwa 1934
Amefariki 27 Juni 2005
Nchi Tanzania
Kazi yake Mchongaji vinyago
Mchoraji

George Lilanga (1934 - 27 Juni 2005) alikuwa msanii Mmakonde kutoka Tanzania. Alipokuwa bado kijana alijifunza kuchonga sanamu jinsi ya Kimakonde. Lakini baadaye alianza kuchora pia akitumia hasa rangi za mafuta. Mwaka wa 1974 aligunduliwa kuwa na kisukari. Ndio ugonjwa uliosababisha kifo chake.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Lilanga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.