10 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Desemba ni siku ya 344 ya mwaka (ya 345 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 21.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1822 - César Franck, mtunzi wa muziki kutoka Ubelgiji
- 1891 - Nelly Sachs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1966
- 1903 - William Plomer, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1906 - Ferdinand Alquié, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1925 - Carolyn Kizer, mshairi kutoka Marekani
- 1934 - Howard Temin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1975
- 1935 - Emmanuel Mapunda, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1945 - Marek Grechuta, mwanamuziki kutoka Poland
- 1954 - Rita Louise Mlaki, mwanasiasa wa Tanzania
- 1955 - Harrison George Mwakyembe, mwanasiasa wa Tanzania
- 1957 - Michael Clarke Duncan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1970 - Mihai Cătălin Frăţilă, askofu Mkatoliki nchini Romania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1896 - Alfred Nobel, mhandisi Msweden, na mwanzishaji wa Tuzo ya Nobel
- 1899 - Ngwane V, mfalme wa Uswazi
- 1936 - Luigi Pirandello, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1934
- 1972 - Mark Van Doren, mshairi na profesa kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Loreto, na za watakatifu Eulalia wa Merida, Mauro wa Roma, Didimo wa Ankara, Papa Gregori III, Luka wa Melicuccà, Edmundi Gennings, Swithun Wells, Polidori Plasden, Eustasi White, Yohane Roberts n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |