23 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Desemba ni siku ya 357 ya mwaka (ya 358 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 8.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1805 - Joseph Smith, Mdogo, mwanzilishi wa Umormoni
- 1807 - Mtakatifu Antoni Maria Claret, askofu Mkatoliki kutoka Hispania
- 1858 - Giacomo Puccini, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 1911 - Niels Jerne, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1984
- 1918 - Helmut Schmidt, Waziri Mkuu wa Ujerumani (1974-1982)
- 1933 - Akihito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1962 - Stefan Hell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2014
- 1963 - Donna Tartt, mwandishi kutoka Marekani
- 1966 - Hussein Ali Mwinyi, mwanasiasa wa Tanzania
- 1970 - Angela Fuste, mwigizaji wa filamu kutoka Venezuela
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1822 - Mtakatifu Antoni wa Mt. Ana, padri wa shirika la Ndugu Wadogo nchini Brazil
- 2007 - Oscar Peterson, mwanamuziki kutoka Kanada
- 2015 - Alfred Gilman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane wa Kety, Teodulo, Saturnini na wenzao, Servulo wa Roma, Yohane Stone, Maria Margareta wa Youville, Antoni wa Mt. Ana, Yosefu Cho Yun-ho n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |