9 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Desemba ni siku ya 343 ya mwaka (ya 344 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 22.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1961 - Nchi ya Tanganyika inapata uhuru kutoka Uingereza, huku ikiendelea kuwa na Elizabeti II kama malkia wake kwa mwaka mmoja
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1868 - Fritz Haber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918
- 1917 - James Rainwater, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 1919 - William Lipscomb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1976
- 1919 - Mary Benson, mwandishi wa kike wa Afrika Kusini
- 1926 - Henry Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1990
- 1952 - Ludovic Minde, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1957 - Jacob Venance Koda, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1437 - Kaisari Sigismund wa Ujerumani
- 1565 - Papa Pius IV
- 1669 - Papa Klementi IX
- 1937 - Nils Dalen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912
- 1945 - Yun Chi-ho, mwanasiasa kutoka Korea Kusini
- 1971 - Ralph Bunche, mwanasiasa Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1950
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Juan Diego, Leokadia wa Toledo, Siro wa Pavia, Gorgonia wa Nazienzi, Sipriani wa Genouillac, Petro Fourier n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |