Jacob Venance Koda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jacob Venance Koda (amezaliwa 9 Desemba 1957) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka 1999.

Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Same hadi alipojiuzulu mwaka 2009.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacob Venance Koda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.