22 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Desemba ni siku ya 356 ya mwaka (ya 357 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 9.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 401 - Uchaguzi wa Papa Inosenti I
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1178 - Antoku, mfalme mkuu wa Japani (1180-1185)
- 1856 - Frank Kellogg, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1929
- 1869 - Edwin Arlington Robinson, mshairi kutoka Marekani
- 1903 - Haldan Hartline, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 1955 - Thomas Südhof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2013
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 69 - Vitellius, Kaisari wa Dola la Roma, auawa
- 1917 - Mtakatifu Frances Cabrini, bikira mwanzilishi kutoka Italia, mmisionari nchini Marekani
- 1989 - Samuel Beckett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1969
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Keremoni na wenzake, Iskirioni wa Aleksandria, Wafiadini thelathini wa Labicana, Wafiadini wa Raithu, Hungeri, Fransiska Saveri Cabrini n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- Today in Canadian History Ilihifadhiwa 1 Januari 2013 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |