Papa Innocent I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti I)
Jump to navigation Jump to search
Mt. Inosenti I.

Papa Innocent I alikuwa Papa kuanzia Desemba 401 hadi kifo chake tarehe 12 Machi 417.

Alimfuata Papa Anastasio I, baba yake, akafuatwa na Papa Zosimus.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 12 Machi[1] au 28 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.