Papa Klementi V
Jump to navigation
Jump to search
Papa Klementi V (1264 – 20 Aprili 1314) alikuwa Papa kuanzia tarehe 5 Juni 1305 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bertrand de Goth.
Alimfuata Papa Benedikto XI akafuatwa na Papa Yohane XXII.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |