Papa Eleutero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Eleuterus)
Jump to navigation Jump to search
Papa Eleutero.

Papa Eleutero (kwa Kigiriki Ελευθέριος) alikuwa papa kuanzia takriban 174 hadi kifo chake takriban 189.

Alimfuata Papa Soter akafuatwa na Papa Viktor I.

Anaheshimiwa kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eleutero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.