Papa Stefano VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Stefano VI.

Papa Stefano VI alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Mei 896 hadi kifo chake mnamo Agosti 897.

Alimfuata Papa Bonifasi VI akafuatwa na Papa Romanus.

Anajulikana hasa kwa kuchimbua na kunajisi maiti ya Papa Formosus.

Mwenyewe aliuawa kwa tendo hilo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.