Papa Eutychian
Mandhari
Papa Eutychian alikuwa Papa kuanzia tarehe 4 Januari 275 hadi kifo chake tarehe 7 Desemba 283[1]. Alitokea Luni, Toscana, Italia[2].
Alimfuata Papa Felisi I akafuatwa na Papa Kayo.
Hakuna habari nyingi za hakika juu ya maisha na kazi yake [3][4].
Hata hivyo, tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 8 Desemba[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Mapapa
- Mababu wa Kanisa
Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ ((The Editors of Encyclopædia Britannica)). "Saint Eutychian". Encyclopædia Britannica. https://www.britannica.com/biography/Saint-Eutychian.
- ↑ Kigezo:EB1911
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/89027
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eutychian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |