Papa Yohane IX
Jump to navigation
Jump to search
Papa Yohane IX, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia Januari 898 hadi kifo chake mwezi wa Januari 900.
Alimfuata Papa Theodori II akafuatwa na Papa Benedikto IV.
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |