Papa Caio
(Elekezwa kutoka Papa Caius)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Caio alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Desemba 283 hadi kifo chake tarehe 22 Aprili 296.
Alimfuata Papa Eutychian akafuatwa na Papa Marcellinus.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[1].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Caio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |