Papa Yohane II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Yohane II.

Papa Yohane II alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Januari 533 hadi kifo chake tarehe 8 Mei 535.

Alimfuata Papa Boniface II akafuatwa na Papa Agapeto I.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.