Papa Boniface II
Jump to navigation
Jump to search
Papa Boniface II alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Septemba 530 hadi kifo chake mnamo Oktoba 532.
Alimfuata Papa Felisi IV akafuatwa na Papa Yohane II.
Aliwekwa wakfu na kuvishwa taji la kipapa tarehe 22 Septemba 530.
Mazishi yake yalifanyika tarehe 17 Oktoba 532.
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Documenta Catholica Omnia (Kilatini)
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |