Papa Pelagio I
(Elekezwa kutoka Papa Pelagius I)

Papa Pelagio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Machi 556 hadi kifo chake tarehe 4 Machi 561[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Alimfuata Papa Vigilio akafuatwa na Papa Yohane III.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752. Lexington Books.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pelagio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |