Papa Lando

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Lando.

Papa Lando alikuwa papa kuanzia mwezi wa Julai au Agosti 913 hadi kifo chake mwezi wa Februari au Machi 914.

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Lando. Alikuwa papa wa mwisho aliyetumia jina la kipapa ambalo halijatumiwa na papa kabla yake.

Alimfuata Papa Anastasio III akafuatwa na Papa Yohane X.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Lando kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.