Papa Yohane VII
Jump to navigation
Jump to search

Mozaiki ya Papa Yohane VII.
Papa Yohane VII alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Machi 705 hadi kifo chake tarehe 18 Oktoba 707.
Alizaliwa katika nchi ya Ugiriki.
Alimfuata Papa Yohane VI akafuatwa na Papa Sisinnio.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |