Papa Marinus I

Papa Marinus I alikuwa Papa kuanzia Desemba 882 hadi kifo chake tarehe 15 Mei 884[1]. Alitokea Gallese, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Yohane VIII akafuatwa na Papa Adriano III.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Marinus I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |