Papa Felix IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Felisi IV)
Jump to navigation Jump to search
Mozaiki ya Mt. Felisi IV.

Papa Felix IV (490 hivi - 20/22 Septemba 530) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 526 hadi kifo chake[1]. Alitokea Campania, Italia[2].

Alimfuata Papa Yohane I akafuatwa na Papa Bonifasi II.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 12 Oktoba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.