Papa Anastasio III
(Elekezwa kutoka Papa Anastasius III)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Anastasio III alikuwa Papa kuanzia Aprili 911 hadi kifo chake mwezi wa Juni 913.
Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Anastasius.
Alimfuata Papa Sergio III akafuatwa na Papa Lando.
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |