Oktoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Mwezi wa Oktoba ni mwezi wa kumi katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na neno la Kilatini octo, maana yake ni "nane", kwa vile katika kalenda ya kale ya Warumi, mwezi huo ulikuwa wa nane. Mwaka wa 153 KK lakini, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka Machi kwenda Januari, na maana ya jina lake Oktoba ilipotea.

Oktoba ina siku 31, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Januari ila katika miaka mirefu yenye siku 366.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: