2 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Oktoba ni siku ya 275 ya mwaka (ya 276 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 90.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1538 - Mtakatifu Karoli Borromeo, askofu mkuu wa Milano
- 1852 - William Ramsay, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904
- 1869 - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na mwanaharakati nchini Uhindi
- 1871 - Cordell Hull, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1945
- 1879 - Wallace Stevens, mshairi kutoka Marekani
- 1907 - Alexander Todd, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1957
- 1917 - Christian de Duve, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 1933 - John Gurdon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2012
- 1962 - Jeff Bennett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1989 - Diamond Platnumz, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1993 - Simon Msuva, mcheza mpira wa Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1264 - Papa Urban IV
- 1927 - Svante Arrhenius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1903
- 1987 - Peter Medawar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 2005 - August Wilson, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Malaika walinzi, Eleuteri wa Nikomedia, Saturi, Leodegari na Jerini, Beregisi, Ursichini wa Chur, Theofilo wa Bulgaria n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 20 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |