Papa Urban IV
Jump to navigation
Jump to search
Papa Urban IV (takriban 1195 – 2 Oktoba 1264) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Agosti 1261 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Pantaléon.
Alimfuata Papa Aleksanda IV akafuatwa na Papa Klementi IV.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |