Papa Adrian I
(Elekezwa kutoka Papa Adriano I)
Jump to navigation
Jump to search

Karolo Mkuu na Papa Adriano I.
Papa Adrian I alikuwa Papa kuanzia tarehe 9 Februari 772 hadi kifo chake tarehe 25 Desemba 795.
Jina la baba yake lilikuwa Theodorus.
Alimfuata Papa Stefano III akafuatwa na Papa Leo III.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |