Papa Viktor I
(Elekezwa kutoka Papa Vikta I)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Viktor I au Victus I alikuwa Papa kuanzia takriban 189 hadi kifodini chake takriban 199.
Alimfuata Papa Eleutero akafuatwa na Papa Zefirini.
Alikuwa Papa wa kwanza kutokea Afrika, labda Leptis Magna, leo nchini Libya.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 28 Julai[1].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Viktor I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |