Papa Eusebius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Eusebius

Papa Eusebius alikuwa papa kwa miezi minne tu, kuanzia 18 Aprili hadi tarehe 17 Agosti mwaka 309 au 310.

Alimfuata Papa Marcellus I akafuatwa na Papa Miltiades.

Kulipotokea fujo miongoni mwa Wakristo wa Roma, Eusebius alifungwa na Kaisari Maxentius akafariki uhamishoni.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 26 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eusebius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.