Papa Klementi X

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Klementi X.

Papa Klementi X (13 Julai 159022 Julai 1676) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Aprili 1670 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Emilio Bonaventura Altieri.

Alimfuata Papa Klementi IX akafuatwa na Papa Inosenti XI.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.