Papa Eugenio I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Eujeni I)
Jump to navigation Jump to search
Papa Eugenio I

Papa Eugenio I alikuwa papa kuanzia tarehe 10 Agosti 654 hadi kifo chake tarehe 2 Juni 657.

Alimfuata Papa Martin I akafuatwa na Papa Vitalian.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 2 Juni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.