10 Agosti
Mandhari
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Agosti ni siku ya 222 ya mwaka (ya 223 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 143.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1874 - Herbert Hoover, Rais wa Marekani (1929-1933)
- 1902 - Arne Tiselius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1948
- 1913 - Wolfgang Paul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 1984 - Richard Petrus, Mtanzania aliyeshinda katika Big Brother Afrika 2007
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 258 - Mtakatifu Laurenti wa Roma, shemasi mfiadini
- 1961 - Julia Peterkin, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Laurenti, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa Aleksandria, Blani n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 7 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |