4 Agosti
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Agosti ni siku ya 216 ya mwaka (ya 217 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 149.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1903 - Uchaguzi wa Papa Pius X
- 1914 - Jeshi la Ujerumani linavamia Ubelgiji kinyume cha mkataba wa London wa mwaka 1839: kwa sababu hiyo Uingereza unaingia katika vita kuu ya kwanza ya dunia dhidi ya Ujerumani
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1521 - Papa Urban VII
- 1859 - Knut Hamsun, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1920
- 1901 - Louis Armstrong, mpuliza tarumbeta wa Jazz
- 1961 - Barack Obama, Rais wa Marekani (tangu 2009)
- 1985 - Antonio Valencia, mchezaji mpira kutoka Ekwador
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 824 - Heizei, mfalme mkuu wa Japani (806-809)
- 1859 - Mtakatifu Yohane Maria Vianney, paroko Mkatoliki wa Ars nchini Ufaransa
- 1977 - Edgar Adrian, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1932
- 2003 - Frederick Robbins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Maria Vianney, Aristarko wa Thesalonike, Yustini na Kreshensioni, Eleuteri wa Tarsia, Ia, Eufroni wa Tours n.k.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |