Onofri wa Panaia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Onofri wa Panaia (Belforte, mkoa wa Calabria, Italia - Filogaso, Calabria, 995) alikuwa mkaapweke wa Ukristo wa Mashariki maarufu kwa kufunga chakula na ugumu wa maisha msituni[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tarehe 4 Agosti ndiyo sikukuu yake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.